HESLB TANZANIA HAS ANNOUNCED THAT THERE WILL BE MORE BATCH OF LOAN ALLOCATION,THIS HAS BEEN VERIFIED BY ITS CEO BADRU. READ AND SHARE .
RECOMMENDED:
- CHECK SCHOLARSHIP OPPORTUNITIES TO STUDY ABROAD CLICK HERE
- PAST PAPERS ZA DARASA LA 4 MPAKA FORM SIX ZIPO ZA NECTA NA MOCK 1988 - 2020. CLICK HERE
- Free CV Writing and Download, Cover/Job Application Letters, Interview Questions and, Its Best Answers plus Examples. Click Here
- DOWNLOAD Here, Job Application Cover Sample Letters
- NEW TANZANIAN JOBS, INTERNSHIPS, AND VOLUNTEERING OPPORTUNITIES
Tunaomba mtuangaliae na sisi wenye mzazi mmoja tuliopitia diploma kwa shida.maana km diploma niliunga unga mpk natka kuingia degree tena naomba msaada kwenu hrf nakosa.sijui hyo batvh inayofata km mtatuangalia kwa jicho jingine jamani.vyuo vinafunguliwa ada sijapata mpk mda huu na sijui km nitapata huo mkopo unaokuja
ReplyDeleteJaman wengine vyuo vimefunguliwa leo na tunategemea mkopo tuende chuo,titizamen kwa jicho lingine wengine hali zetu duni
ReplyDeleteJmn naombeni mtuangalie kwa jicho la tatu kbs maana unaweza kuta umesoma private primary na O level lakini A lvl ukasoma government sio kwamba wazazi wana uwezo unaweza kuta umefadhiliwa tu
ReplyDeleteHabari!heslb mnatufikiriaje masikini tusiowahi kusoma private na tumekamilisha maombi kabla ya tarehe 15 Aug na tulikua sahihi na vyuo tumefungua Leo sasa ndo hatusomi tena?
ReplyDeleteHabari za kazi,sisi wengine tulipata chuo awamu ya kwanza na tulisoma government school toka o-level hadi advanced level na tuna hali duni ya maisha ya vyuo leo vimefunguliwa na mkopo hatujapata nashindwa kupata jinsi maana hata kozi niliyochaguliwa ni afya.kwa maana hiyo naombeni msaada wenu katika kupata mkopo maana bila siwezi kusoma kutokana na hali duni.namba S3205.0062.2016
ReplyDeleteHabari za kazi, mm primary nmesoma gvnt olevel nmesoma private kwa shida ada ilikua 485000 kwa mwaka ambayo nilikua nkilipiwa na mama tyu baba kashatangulia mahali husika naomben msaada wenu maana first batch sikuwemo na second batch pia simo naomba msaada wa mkopo plz, user name ni S2327.0081.2016
ReplyDeleteHi! I'm requesting please help me , the university are now open and I have no way out to begin my studies but just depending on the Government loan unless otherwise will be left in the village.
ReplyDeleteJaman naombeni msaada wenu chuoni usajili umegoma mpaka nilipe nusu ya Ada laki tisa,wazazi hawana hiyo pesa hata olevel nmesoma private kwa ufadhili wa shule husika nisaidieni Nina ndoto kubwa ya kuja kuikomboa familia yangu..username ni S.5250/0009
ReplyDeleteSamahani Mimi nmesoma o level private lakini advance nmesoma government kutokana na half ya kiuchumi ya wazazi wanashindwaa kumudu gharama za chuoo naombeni msaada wenuu no S5137.0005.2016
ReplyDeleteJamani bodi. Kwa wale ambao mliotupa mkopo nusu halaf mmeondoa ada yote mnatufikiriaje Hali ya kuwa hiyo nusu tu kuimalizia ilikuwa shida. Je, Ada yote itakuwaje? Tifikirieni kwa namna nyingine jamani familia za maskini
ReplyDelete